Content deleted Content added
Maandishi yaliyokuwepo yalichukuliwa nafasi na '{{karibu}}~~~~'
Tag: Replaced
No edit summary
 
Mstari 1:
{{karibu}}'''[[Mtumiaji:Idd ninga|Idd ninga]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Idd ninga|majadiliano]])''' 19:28, 14 Novemba 2021 (UTC)
 
==Kuhusu Kuchomwa Shule==
Salamu Ndugu Omondi, Karibu sana katika Wikipedia ya Kiswahili, ningelipenda kukuambia kwamba Wikipedia ni kwa ajili ya kutoa elimu pamoja na kuandika makala zenye vyanzo ndani yake, makala ambayo haina vyanzo haifai katika Wikipedia ya Kiswahili, lakini pia Wikipedia ya Kiswahili siyo sehemu ya kuandika taarifa kama baadhi ya tovuti nyingine, asante sana kwa moyo wako wa kujiunga na Wikipedia ni matumaini yetu kuona mchango wako mkubwa katika kukuza kamusi elezo hii,Amani Sana '''[[Mtumiaji:Idd ninga|Idd ninga]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Idd ninga|majadiliano]])''' 19:34, 14 Novemba 2021 (UTC)