'''Hanna Ulrika Bennison''' ( alizaliwa [[16 oktobaOktoba]] [[2002]]) ni [[mwanasoka]] kutokea Uswidi anaechezea nafasi ya [[kiungo wa kati]] kwenye [[ligi kuu ya wanawake FA]] ndani ya timu ya [[Everton F.C.|Everton]]. Alionekana kwa mara ya kwanza kwenye [[Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Sweden|timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Uswidi]] mnamo Novemba 2019. Mnamo Januari 2020 alitajwa na [[UEFA]] kama mmoja wa wachezaji 10 wa kutumainiwa zaidi barani [[Ulaya]]<ref>{{Citation|title=Hanna Bennison|date=2021-11-15|url=https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Hanna_Bennison&oldid=1055375601|work=Wikipedia|language=en|access-date=2021-11-27}}</ref> na Machi 2021 alishinda Tuzo ya NXGN [[Goal (tovuti)]] kama mwanasoka bora wa kike duniani mwenye umri mdogo.<ref>{{Citation|title=Hanna Bennison|date=2021-11-15|url=https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Hanna_Bennison&oldid=1055375601|work=Wikipedia|language=en|access-date=2021-11-27}}</ref>