Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Kondoo ni tafsiri ya Hamali. Mabaharia Waswahili walijua nyota hizi tangu muda mrefu kwa jina la "Hamali".<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Hamali linatokana na Kiarabu <big>حمل</big> ''hamalḥamal'' ambalo linamaanisha "kondoo". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Κριός ''kri-oskrios'' "dume wa kondoo" na hao walipokea tayari (kundinyota)| hii kutoka [[Babeli]].
<ref>Edward William Lane , Arabic‐English Lexicon p. 1428, A lamb; alhamal „aries“ </ref>
<ref>Rogers, John H. 1998. "Origins of the Ancient Constellations: I. The Mesopotamian Traditions". Journal of the British Astronomical Association. 108 1: 9–28. Bibcode:1998JBAA..108....9R.</ref>