Desmond Tutu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
 
Mwaka uliofuata alichaguliwa kuwa askofu wa Lesotho. Baada ya kushika nafasi hii akachaguliwa 1978kuwa katibu mkuu wa Baraza la Makanisa ya Afrika Kusini. Aliendelea katika ofisi hii hadi mwaka 1985. Wakati ule alifahamika zaidi kimataifa akisafiri na kukutana na viongozi wa serikali za nchi nyingi akitatafuta usaidizi wako kushawishai seriklai ya afrika Kusini kumaliza unaguzi warangi. Kutokana na jitihada hizo aliteuliwa kupokea Tuzo ya Nobel ya Amani kwa mapambano yake dhidi ya ubaguzi wa rangi ya apartheid nchini Afrika Kusini bila kutumia mabavu.
 
1985 alichaguliwa na sinodi kuwa askofu wa Johannesburg, akiwa Mwafrika mweusi wa kwanza. Wakristo wake walikuwa 80% weusi. Baada ya kuchaguliwa alitangaza mara moja kwamba ataomba jamii ya kimataifa kuanzisha vikwazo wa kiuchumi dhidi ya nchi yake kama sheria za ubaguzi hazifutwi. Askofu mpya alijitahidi sana kutembelea parokia za wakristo weupe (kisheria watu walipaswa kuishi katika maeneo "meupe" au "meusi", hivyo hata parokia nyingi zilitengwa vile) na kujenga maelewano nao.
 
Wakati uleule kulikuwa na mapigano kati ya vijana Waafrika walioandamana dhidi ya serikali na polisi. Vifo viliongezekea kwa sababu polisi ilitumia silaha za moto kukandamiza maandamano, na Waafrika wenye hasira walishambulia watu walioaminiwa kupeleka habari kwa polisi. Tutu alijitahidi kuingilia kati akakataa kuuawa kwa hao walioshtakiwa kuwa wasaliti, Akafika pia mara kadhaa kwenye maandamano akiomba polisi kupunguza ukali. Hakukubali matumizi ya silaha pande zote lakini alikataa kulaani madai ya [[ANC]]. Tutu alisafiri Marekani na nchoi nyingine, akuhutubia wabunge na viongozi wengine na kudai nchi hizo zitumie vikwazo wa kiuchumi kubadilisha siasa ya Afrika Kusini. Mara kadhaa pasipote yake ilikamatwa na polisi wakati wa kurudi akazuiliwa kusafiri tena kwa muda fulani.
 
1986 Tutu alichaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa Cape Town na hivi kiongozi wa Kanisa Anglikana katika Afrika Kusini. Alihamia nyumba rasmi ya askofu akipuuza sheria ya ubaguzi wa sababu nyumba hiyo ilikuwa katika "eneo jeupe" na yeye angetakiwa kuomba kibali cha pekee kuishi huko ambacho hakufanya.
 
Mwaka 1988 alikutana na rais [[PW Botha|P.W. Botha]] kuombea uhai wa "Sharpeville Six", waandamaji sita waliohukumiwa kifo baada ya maandamano ambako meya wa Sharpeville aliuawa. Tutu alitumia nafasi yake kuwasiliana na serikali za Marekani, Uingereza na Ujerumani kuwaombea hao sita. Hatimaye Botha alibadilisha hukumu ya kifo.
 
Wakati Nelson Mandela aliachishwa gerezani mwaka 1990, alilala usiku wa kwanza katika uhuru kwenye nyumba ya askofu. Mwaka uleule 1990 yalianza mapigano makali kati ya wafuasi wa ANC na harakati ya [[Inkatha Freedom Party|Inkatha]] katika [[KwaZulu-Natal]] na Tutu alitembelea viongozi wa pande zote mbili na pia familia zilizoathiriwa na mauaji yaliyotokea katika mapigano haya. Tutu alialika viongozi wa vyama vya siasa kama ANC, [[PAC]] na [[AZAPO]] akiwabembeleza kukubali kempeni huru na kuachana na vitishio na mabavu dhidi ya wapinzani.
 
== Tume ya Ukweli na Upatanisho ==
Mwaka 1996 Tutu alistaafu kama askofu mkuu. Rais Mandela alimteua kuwa mwenyekiti wa Tume ya Ukweli na Upatanisho iliyoundwa kuchungulia jinai zilizotekelezwa wakati wa mapigano dhidi ya apartheid. Wahanga wa jinai dhidi ya haki za binadamu walialikwa kutoa taarifa na watendaji wa jinai waliweza kufika mbele ya tume, kukiri matendo yao na kuomba msamaha.
 
Tutu alipendekeza mchakato wa hatua tatu: kwanza watendaji kukiri matendo yao bila kuficha chochote, pili msamaha kwa njia ya kisheria, tatu mtendaji anapaswa kusaidia wahanga kutenegeza maisha yake upya. 1998 Tutu aliweza kumkabidhi rais Mandela taarifa ya tume.
 
== Mteteaji wa Haki za Binadamu na Washoga ==
Tutu aliendelea kupigania haki za binadamu. Alipokuwa askofu, alianza kubariki wanawake kuwa mapadre akatetea nafasi kamii ya wanawake kanisani.
 
Alifahamika hasa kwa kutetea haki za washoga. Tutu aliona ubaguzi dhidi ya washoga kuwa sawa na ubaguzi dhidi ya watu weusi au dhidi wanawake. Alisema "Kama ingekuwa kweki kwamba Mungu anachukia washoga, nisingemwabudu. Lakini si kweli."<ref>http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/7100295.stm Tutu chides Church for gay stance, BBC 18.11.2007</ref> Mwaka 2011 aliomba kanisa la Afrika Kusini kukubali ndoa za jinsia moja.
 
Alishiriki katika majadiliano kuhusu maswala ya Israeli na Palestina akitetea haki ya Israeli kuendelea kuwepo katika mipaka ya 1967 lakini alikemea serikali yake kwa kuenea katika ardhi ya Wapalestina na kutoheshimu haki za Wapelestina.
 
 
ed discrimination against homosexuals as being the equivalent to discrimination against black people and women, and his views on this known through speeches and sermons. After the 1998 Lambeth Conference of bishops reaffirmed the church's opposition to same-sex sexual acts, Tutu wrote to George Carey stating "I am ashamed to be an Anglican". He regarded the Archbishop of Canterbury Rowan Williams as too accommodating of conservatives who wanted to eject various US and Canadian Anglican churches from the Anglican Communion after they expressed a pro-LGBT rights stance. Tutu expressed the view that if these conservatives disliked the inclusiveness of the Anglican Communion, they always had "the freedom to leave". In 2007, Tutu accused the church of being obsessed with homosexuality and declared: "If God, as they say, is homophobic, I wouldn't worship that God." In 2011, he called on the Anglican Church of Southern Africa to accept and conduct same-sex marriages.
 
== Maandishi yake ==