Emma Goldman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kunyosha kidogo mwanzoni
Masahihisho kadhaa!
Mstari 11:
==Maisha yake==
===Historia===
Goldman alizaliwa katika mji wa Lithuania ya leo (wakati ule ilikuwa moja kati ya sehemu ya [[Urusi]]). Alivyofikisha umri wa miaka kumi na misaba akahamia mjini Rochester, [[New York]] akiwa pamoja na dada yake.
 
Mwanzo kabiakabisa alikuwa akifanya kazi katika kampuni ya kutengeneza nguo na akabahatika kuolewa na mfanyakazi mwenziye Bw. Jacob Kersner. Lakini ndoa yao haikudumu sana na Bi. Emma akaelekea zake mjini [[New York]] ambako huko ndiko aliko kuja kuwa mmoja wa watawalawafuasi wa utawala huria.
 
AkajaPia akaja kuwa rafiki mkubwa wa Bw. Alexander Berkman (mtawalanaye huriani mwenzimfuasi wa utawala huria) na akamsaidia kupanga mpango wa kumwua Bw. Henry Clay Frick, tajiri anayesemekana kuwanyanyasa wafanyakazi wake. Lakini Bw. Berkman hakufanikiwa katika mpango huo badala yake akatumikia kifungo cha miaka kumi na minne jela, lakini Goldman hakupatiwa adhabu yoyote ile.
 
Goldman amekumbana na matatizo kinaokibao ya kisheria. Mnamo mwaka wa 1893, alihukumiwa kwa kosa la kuanzisha mzozo na akatumikia kifungo cha mwaka mmoja jela. Kunako mwaka wa 1901, Emma alitiwa nguvuni kwa tuhuma za kuhusishwa na njama za kuawa kwa rais wa 25 wa [[Marekani]] Bw. [[William McKinley]], lakini akakutanika kuwa hana kosa na tuhuma hizo.
 
Mnamo kwa wa 1916 alitumikia kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kutoa taarifa za siri za sehemu ya kuzalishia watu (ambapo kwa kipindi hicho ilikuwa ikihesabia kuwa kama kosa la jinai). Mnamo mwaka wa 1917 alikamatwa na kutiwa ndani kwa kosa la kuto kubaliana na swala la kuanzisha [[Vita Kuu ya Dunia ya Kwanza|Vita ya Kwanza ya Dunia]].
 
Mnamo mwaka wa [[1919]], Goldman na Berkman walifukuzwa nchini [[Mareakani]], na kurudi kwao [[Urusi]] kwasababu serikali ya [[Marekani]] ilikuwa ikiwafikiria kuwa watu hao ni hatari sana kwa taifa lao hivyo warudishwe makwao haraka iwezekanvyo. Baada ya kurudi huko, na [[Mapinduzi ya Urusi ya 1917|Mapinduzi ya Urusi]] yakawa yashatokea, hivyo Goldman akawa na imani kwamba sasa [[Urusi]] huenda ikawa sehemu nzuri.
 
Matokeo yake akawa anadai kwamba mapinduzi ya Urusi hayakuwa mazuri kama vile alivyokuwa akifikiria na kusema kwamba Bw. Bolsheviks anawafanyia danganyatoto watu wengi wa nchini [[Russia|Urusi]]. AlifikiraAlifikiria kwamba Bolsheviks alikuwa mtu wa kupenda kudhibiti watu na mwenyewe nguvu zaidi. Pia aliuchukia sana [[Umoja wa Kisovyeti]] kwa kuwaweka ndani Wanaharakati wenzake wa utawala huria kwa kosa la kuto kubaliana na watu hao wanaojiita wanautawala huria.
 
Emma na Berkman waliondoka nchini Urusi baada ya miaka miwili na Goldman akawa anaishi katika sehemu nyingi za nchi za [[Ulaya]], ikiwemo [[Uingereza]] na [[Ufaransa]]. Mnamo mwaka wa 1936 alielekea zake nchini [[Hispania]] kwenda kuwasaidia wanautawala huria wenzi dhidi ya utawala wa kimabavu wakati ule wa [[Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Hispani]].
 
Emma alifariki dunia mnamo tarehe 14 ya mwezi wa Mei katika mwaka wa 1940, kwa ugonjwa wa kupooza. Na kuzikwa karibu kidogo na mji wa [[Chicago]].
 
==Viungo vya nje==
* {{gutenberg author| id=Goldman+Emma | name=Emma Goldman}}