Nicholas Butler : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Nicholas Murray Butler''' (2 Aprili, 18627 Desemba, 1947) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mwenyekiti...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:14, 21 Mei 2008

Nicholas Murray Butler (2 Aprili, 18627 Desemba, 1947) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Columbia, na alijitahidi hasa upande wa elimu ya kimataifa. Mwaka wa 1931, pamoja na Jane Addams alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.