Wanaisraeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: ''Kwa maana mbalimbali ya jina Israeli tazama Israeli (maana)'' '''Wanaisraeli''' ni namna ya kutaja watu wa Agano la Kale waliokuwa wazawa wa Yakobu aliyeitwa pia Israeli mm...
 
No edit summary
Mstari 4:
'''Wanaisraeli''' ni namna ya kutaja watu wa [[Agano la Kale]] waliokuwa wazawa wa [[Yakobu]] aliyeitwa pia Israeli mmoja wa mababu wa taifa la [[Israeli ya Kale]].
 
Yakobu alipewa jina la "Israeli" baada ya kushindana na Mungu kwenye [[mto Yaboki]]. Alizaa wana 12 waliokuwa mababu wa makabila 12 ya [[Israeli ya Kale]].
 
Katika maandiko ya [[Agano la Kale]] ([[Tanakh]]) makabila hawa mara nyingi huitwa "Wanaisraeli", "wana wa Israeli" au pia "watu wa Israeli".