Majadiliano ya kigezo:Mbegu : Tofauti kati ya masahihisho

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Content deleted Content added
New page: Mkubwa samahani sana. Kuna tatizo katika template hii, yaani imeandikwa maelezo mengine ambayo yanahusiana na mambo ya dini ilhali template hii imekaa katika makala nyingi hakuna mfano. Si...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:55, 16 Juni 2008

Mkubwa samahani sana. Kuna tatizo katika template hii, yaani imeandikwa maelezo mengine ambayo yanahusiana na mambo ya dini ilhali template hii imekaa katika makala nyingi hakuna mfano. Sijafahamu, imeboreshwa ama namna gani? Sina mamlaka ya kurudisha kama awali hadi Mzee wangu aje kuelezea kilichotokea! Wasalaaaam,--Mwanaharakati (majadiliano) 06:55, 16 Juni 2008 (UTC)Reply

Return to "Mbegu" page.