Kiluwiluwi (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
No edit summary
Mstari 15:
| spishi = Angalia katiba
}}
<center>''Kwa kiluwiluwimaana kama lava wa amfibiamengine tazama [[churaKiluwiluwi]]''</center>
 
'''Viluwiluwi''' ni [[ndege]] wa [[familia ndogo]] [[Vanellinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Charadriidae]]. [[Spishi]] hizi ni kubwa kuliko zile za familia ndoga ya [[Charadriinae]]. Huonekana mara kwa mara kandi ya maji, lakini spishi nyingi huonekana pia mbali na maji hata kwa maeneo makavu. Hutaga mayai yao chini na hula [[mdudu|wadudu]] hasa.