Tofauti kati ya marekesbisho "Majengo"

169 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
'''Majengo''' ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya [[Afrika ya Mashariki]].
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la kata ya Wilaya ya [[Muheza]] katika [[Mkoa wa Tanga]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 9,490 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/muheza.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21}}</ref>
==Tazama pia==
*[[Majengo (Tanga)|Majengo]] katika [[Wilaya ya Tanga]]
==Marejeo==
{{marejeo}}
 
Mifano ni [[Nairobi]], [[Mtwara]], [[Mbeya]], [[Tanga]] na [[Muheza]] ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata. Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni ambako sehemu ya "Uzunguni" ilihifadhiwa kwa Waingereza na Wazungu wengine na Wahindi walipewa nafasi ya maduka katika sehemu zilizoitwa mara nyingi "Uhindini".
{{tanzania-geo-stub}}
 
 
[[Category:Miji]]
{{Kata za Wilaya ya Muheza}}
 
[[Jamii:Mbegu za jiografia ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Tanga]]