Roma ya Kale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Reverted edits by 142.227.239.236 (Talk) to last version by VolkovBot
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Roman Republic Empire map.gif|thumb|300px|Mabadiliko ya eneo la Dola la Roma kuanzia mw. 510 [[KK]] hadi 480 [[BK]]; namba zinaruka kutoka 20 KK kwa 70 BK; *'''nyekundu''' = Jamhuri 510-40 KK; *'''dhambarauzambarau''' = Dola la Roma 20-360 BK *'''buluu''' = Roma ya magharibi 405-480 BK *'''njano''' = Roma ya mashariki 405-480 BK]]
 
'''Roma ya Kale''' ni [[ustaarabu]] uliokua kutoka katika mji na taifa la [[Roma]], ulioanzishwa katika rasi ya Italia katika karne ya 9 KK. Katika kipindi cha karne kumi na mbili cha uhai wake, ustaarabu wa Roma ulibadilika toka kuwa [[dola-mjirasi]], kwanza ufalme halafuya [[jamhuri ya RomaItalia]] yenye athira katika Italia, na hadi kuwa milki kubwa. Romakabla ya Kale ilikuja kutawala Ulaya Magharibi na eneo zima linalozunguka [[baharikarne ya Mediteranea9 KK]] kwa njia ya vita au kwa njia ya maungano na maeneo.
 
Katika kipindi cha karne kumi na mbili cha uhai wake, ustaarabu wa Roma ulibadilika toka kuwa [[dola-mji]], kwanza [[ufalme]] halafu [[jamhuri ya Roma]] yenye athira katika Italia, na hadi kuwa milki kubwa. Roma ya Kale ilikuja kutawala [[Ulaya Magharibi]] na eneo zima linalozunguka [[bahari ya Mediteranea]] kwa njia ya [[vita]] au kwa njia ya maungano na maeneo.
Baada ya karne za upanuzi uhamisho wa mataifa mapya ya [[Wagermanik]] pamoja na mashambulio kutoka [[Asia]] zilisababisha hatimaye kuanguka kwa [[Dola la Roma]] katika karne ya 5 BK.
 
Baada ya karne za upanuzi uhamishouhamiaji wa mataifa mapya ya [[Wagermanik]] pamoja na mashambulio kutoka [[Asia]] zilisababisha hatimaye kuanguka kwa [[Dola la Roma]] katikakuanzia [[karne ya 5]] BK.
Sehemu ya magharibi ya milki dola liliporomoka kabisa likiendelea na umoja wa kiutamaduni lililotunzwa hasa na kanisa katoliki chini ya uongozi wa Papa wa Roma.
 
Sehemu ya magharibi ya milki dola liliporomoka kabisa likiendelea na umoja wa kiutamaduni lililotunzwa hasa na kanisa[[Kanisa katolikiKatoliki]] chini ya uongozi wa [[Papa]] wa Roma.
Sehemu ya mashariki ya Dola iliyoongozwa kutoka [[Konstatinopoli]] iliendelea. Tabia yake ilibadilika polepole kuwa milki ya Wagiriki ikaitwa baadaye [[Milki ya Byzanti]] ikiendelea hadi 1453 [[Waturuki]] walitwaa mji wa Konstantinopoli na kuimaliza.
 
Sehemu ya mashariki ya Dola iliyoongozwa kutoka [[KonstatinopoliKonstantinopoli]] iliendelea. Tabia yake ilibadilika polepole kuwa milki ya [[Wagiriki]] ikaitwa baadaye [[Milki ya Byzanti]] ikiendelea hadi mwaka 1453, [[Waturuki]] walitwaawalipotwaa mji wa Konstantinopoli na kuimaliza.
 
[[Category:Roma ya Kale|*]]