Salaam, naona umeendelea kuchangia kwa kubadilisha neno "Afrika" kuwa "Africa". Kwa bahati mbaya umechukua hatua hii bila kuwasiliana nasi wengine. Ujue ya kwamba "Afrika" ni Kiswahili sanifu. Kwa mabadiliko yako ulivunja mara kadhaa viungo vilivyokuwepo. Sina uhakika kama unaelewa Kiswahili kwa hiyo nachukua hatua ya kukusimamisha kwa wiki moja kwa matumaini ya kwamba hutaendelea na mabadiliko haya. --Kipala (majadiliano) 17:04, 7 Aprili 2009 (UTC)Reply


Huu ni ukurasa wa majadiliano kwa mtumiaji asiyejulikana ambaye bado hajafungua akaunti, au ambaye haitumii. 

Kwa hivyo inatubidi kutumia anwani ya IP ya nambari ili kuwatambua. Anwani kama hiyo ya IP inaweza kushirikiwa na watumiaji kadhaa. Ikiwa wewe ni mtumiaji asiyejulikana na unahisi kuwa maoni yasiyo na maana yameelekezwa kwako, tafadhali fungua akaunti au ingia ili kuepuka kuchanganyikiwa kwa watumiaji katika siku za usoni na wengine wasiojulikana.