Meza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with '{{kwc|Meza}} '''Meza''' ni neno la kiswahili ambalo lina maana zaidi ya moja. Maana ya kwanza: Neno '''meza''' linaweza kumaanisha samani ambayo hutumika kuwekea au kufanyia...'
 
No edit summary
Mstari 8:
Maana ya pili:
'''Meza''' pia huweza kutumika kama kitendo cha kukiruhusu chakula kilichosagwa baada ya kutafunwa mdomoni kiingie tumboni. Mara nyingi tendo hili hutumika kila siku maana katika maisha ya binadamu na wanyama kwqni ni lazima kula [[chakula]] na kwa maana hiyo, pia ni lazima kumeza chakula au [[dawa]] au kitafunwa cha aina yoyote.
 
{{maana}}
 
 
[[cs:Tabule]]
[[de:Tafel]]
[[fa:جدول (ابهام‌زدایی)]]
[[fr:Table (homonymie)]]
[[ko:테이블]]
[[id:Tabel]]
[[he:טבלה (פירושונים)]]
[[nl:Tafel]]
[[ja:テーブル]]
[[pl:Stół (ujednoznacznienie)]]
[[pt:Tabela (desambiguação)]]
[[ro:Tabel (dezambiguizare)]]
[[sk:Tabuľa]]