Content deleted Content added
overwrite
→‎Makosa: mjadala mpya
Mstari 7:
==Garissa==
Rafiki OScar, nimerejesha makala ya [[Garissa]]. Una wajibu kuangalia kwanza kama makala iko tayari. {{overwrite}} --'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 19:25, 16 Desemba 2009 (UTC)
 
== Makosa ==
 
Salam, Limoke. Nimeona mara kadhaa ukiandika makala huku ukiwa umeacha vigezo au template za Wikipedia ya Kiingereza hapa kwenye Kiswahili - wakati vigezo vile havina kazi. Unaombwa uwe unaweka taratibu za kuondoa vigezo vyote vya Kiingereza - kwani havina kazi hapa kwenye Kiswahili. Pia, nimeona mara kibao ukiandika kiungo cha ndani cha Wikipedia huku ukiweka KOMA ndani yake. Hii haileti kiungo kwenda makala nyingine. Isitoshe, nimeona pia ukiweka hata NUKTA kwenye mabano mraba ya makala ([[mtu.]] badala ya [[mtu]]). Kumbuka kuondoa au kuepuka [[Wikipedia:Makosa|makosa]] haya, ndugu. Kila la kheri.--<span class="handtekening_lang">[[Image:Flag of Tanzania.svg|20px|Muddyb]] </span><font face="Verdana">[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="green"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Arial">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sup><big>'''Longa'''</big></sup></font>]]</span></small></font></font color></font face="arial"> 10:10, 17 Desemba 2009 (UTC)