Kampuni ya Bacup : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 18:
 
==Ukuaji wa Kampuni ya Viatu ya Bacup==
Tangu mwaka wa 1928, kampuni hii imenawiri na ikawa wasambazaji wengi, wa viatu vyao, katika nchi ya Uingereza.Makao yao makuu yanapatikanayalipatikana [[Stacksteads]].
 
Sekta kuu za kampuni hii ni viatu vya Wanaume, Wanawake, Watoto na vya mazoezikutumika katika mazoezi ya michezo. WauzajiWameajiri wauzaji wa rejareja wanaojulikana sana kamakwa mfano Tesco,ASDA ,Woolworths na Littlewoods wakiwa wateja wao wakuu.
 
Katika mwaka wa 2002,kampuni hii ilifungua sehemu mpya iliyoitwa Alpha Logistics & Warehousing ya kuhusisha matumizi kamili ya maghala yao yote na matumizi bora ya wafanyikazi wenye vipaji.
 
Pamoja na upanuzi wa makao makuu ya kampuni hii,Bacup wameanzisha aina mpya ya viatu vya wasichana.Aina hii inaitwa ''Redfoot After Party Shoe'' na ni bidhaa za kampuni hii zilizosajiliwa katika sheria.