Content deleted Content added
Mstari 73:
 
:Ahsante kwa taarifa yako, mzee wangu. Nikitulia zaidi, basi nitafanya mambo!--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 09:45, 30 Januari 2010 (UTC)
 
== SAMAHANI-RE: Remarking my artictles ==
 
Salam Muddy, ningependa kwa unyenyekevu kukuomba msamaha kwa malalamiko yangu yaliyoonekana kukosa ustahimilifu kuhusu makala zangu katika majadiliano ya ukurasa wangu wa kukabidhi. Ni hali ya woga wa kushindwa lakini ninamshukuru Mola kwa umbali alioniwezesha. Ninajua malalamiko yangu hayakukupendeza wala wanawikipedia wengine, ndiyo maana ninaomba msamaha. Pole kwa kazi na kila la heri.'''[[Mtumiaji:Coolsam726|Coolsam726]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Coolsam726|majadiliano]])''' 09:48, 3 Februari 2010 (UTC)