Hugo Birger : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created page with ''''Hugo Birger''' (12 Januari, 1854 - 17 Juni, 1887) alikuwa mchoraji kutoka Uswidi. Yeye alikuwa mwanafunzi katika shule ya sanaa mjini Stockholm. Mwaka ...'
 
dNo edit summary
Mstari 1:
'''Hugo Birger''' ([[12 Januari]], [[1854]] - [[17 Juni]], [[1887]]) alikuwa mchoraji kutoka [[Uswidi]]. Yeye alikuwa mwanafunzi katika shule ya sanaa mjini [[Stockholm]]. Mwaka [[1887]] alipata medali kwa picha zake ''Syndafallet'' (kuanguka ya mwanadamu). Uchoraji zake unapatikana katika Jumba yala sanaa mjinila [[Göteborg]] na Makumbusho ya Uswidi mjini [[Stockholm]].