Miaka baada ya hijra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Hesabu hii ni ilianzishwa miaka 17 baada ya tukio lenyewe (638 [[BK]]) kufuatana na azimio la [[Khalifa]] [[Umar]].
 
[[Waarabu]] waliwahi kuwa na kalenda iliyotumia mwendo wa [[mwezi]]. Lakini hawakuhesabu miaka. Kila mwaka ulitajwa kutokana na tukio fulani. Mwaka wa kuzaliwa kwake [[Mtume Muhammad]] hujulikana "Mwaka wa Tembo" kwa sababu mwaka ule [[Makka]] ilishambuliwa na jeshi la [[Ethiopia|Waethiopia]] lililokuwa na tembo wa kijeshi. Hata baada ya Muhammad desturi hii iliendelea. Mwaka wa [[Hijra]] wenyewe uliitwa "Mwaka wa kukubaliwa kwa safari," mwaka uliofuata "Mwaka vita vilipoamriwailipoamriwa," n.k.
 
Wakati wa Khalifa Umar ilionekana haja ya kuwa na hesabu inayoeleweka zaidi ilionekana hivyo hesabu ya Hijra ikachaguliwa.
 
==Hesabu ya Kiarabu na Hesabu ya Kiajemi==
Waarabu waliendelea kuhesabu miaka ya miezi halisi ya siku 29 au 30 kufuatana na kuonekana halisi kwa mwezi. [[Kalenda]] ya kikristo hufuata jua badala ya mwezi ikitumia vipindi vinavyoitwa "mwezi" vilevile lakini havilingani na kuonekana kwa mwezi mwenyewe. Hivyo miaka ya Kiislamu ina jumla ya siku takriban 354. Mwaka huo wa Kiislamu una siku 11 kasoro siku zile 365 za [[mwaka wa jua]] katika [[kalenda ya kikristo]]. Katika mwaka 2006 BK hesabu ya hijra ni 1427.
Waarabu Waislamu waliendelea kuhesabu [[Kalenda ya mwezi|miaka ya mwezi]] ya siku 29 au 30 kufuatana na kuonekana halisi kwa mwezi.
 
[[Uajemi]]Hivyo hutumia hesabumiaka ya miakaKiislamu ina jumla ya Hijrasiku pamojatakriban na354. Mwaka huo wa Kiislamu una siku 11 kasoro siku zile 365 za [[mwaka wa jua.]] Hivyokatika mwanzo[[kalenda waya 2006kikristo]]. BKKatika hukomwaka Uajemi2006 [[BK]] ni mwaka1427 1384BH (baada ya Hijra).
 
[[Uajemi]] hutumia hesabu ya miaka ya Hijra pamoja na [[mwaka wa jua]]. Hivyo mwanzo wa 2006 BK huko Uajemi ni mwaka 1384 BH (baada ya Hijra).
 
 
==Tazama pia==
[[Kalenda ya Kiislamu]]