Content deleted Content added
Mstari 67:
 
:Salam tena na karibu tena! Haya, naona toto la Maosa kume-mchea ili aanze vimbwanga vyake. Kwa mpango mzima wa kuandika makala sijui wewe unapendelea kuandika masuala gani? Binafsi najijua kama ni mpenzi wa muziki na filamu! Katika uga hizo nimejikita vya kutosha!!! Basi si ni afadhali tuambizane mwenzangu umelalia upande gani. Hii inarahisisha kutoa miongozo thatbiti kiusaidizi. Hebu nieleze - halafu tuangalie inakuwaje? Salam hizi zinatokea [[Buguruni]], [[Ilala]], [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]]! Niite Muddyb au,--[[User:Muddyb Blast Producer|<font color="blue"><sub>'''Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span><font face="Verdana">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="gray"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 06:19, 17 Machi 2010 (UTC)
 
::Basi hapo ukanipata. Ninapenda muziki na filamu sana, ingawa sina ujuzi mwingi huko. Kando na hayo, ya teknolojiaa pia hayanipiti. Hizo ndizo nyanja ninamotaka kujikita zaidi, isimaanishe sitahariri kuhusu maswala mengine. Salamu nazipokea.
'''[[Mtumiaji:Coolsam726|Coolsam726]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Coolsam726#top|majadiliano]])''' 06:25, 17 Machi 2010 (UTC)