Helsingborg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Helsingborg thumb|180px| '''Helsingborg''' ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:44, 19 Mei 2010

Helsingborg ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa nane katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 95,444 (mwaka 2008). Iko kando ya mlangobahari ya Oresund. Huu ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Uswidi.

Helsingborg


Jiografia

Eneo lake ni 37.63 km². Umbali na nchi ya Denmark ni 4 km


Viungo vya nje



  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Helsingborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.