Musalia Mudavadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Wycliffe Musalia Mudavadi''' ni mwanasiasa maarufu nchini Kenya. Alizaliwa Septemba 12, 1960 katika Wilaya ya Vihiga. Anajulikana zaidi kwa jina la Musalia Mudavadi. Musadavadi...
 
d +en
Mstari 1:
'''Wycliffe Musalia Mudavadi''' ni mwanasiasa maarufu nchini [[Kenya]]. Alizaliwa [[Septemba 12]], [[1960]] katika [[Wilaya ya Vihiga]]. Anajulikana zaidi kwa jina la Musalia Mudavadi.
 
MusadavadiMudavadi amekuwa mbunge kwa miaka mingi. Aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 1989 baada ya baba yake, [[Moses Mudavadi]], aliyekuwa akishikilia kiti hicho kufariki.
 
Alikuwa ndiye makamu wa rais wa mwisho kabla [[Daniel Arap Moi]] hajaondoka madarakani. Inaaminika kuwa alipewa umakamu wa rais ili kushawishi Waluhya kuiunga mkono [[KANU]]. Mpango huu haukufanikiwa.
Mstari 20:
[[Category:Wabunge wa Kenya]]
[[Category:Makamu wa Rais wa Kenya]]
 
[[en:Musalia Mudavadi]]