Wilaya ya Vihiga
Wilaya ya Vihiga ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Vihiga | |
Wilaya ya Vihiga katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Vihiga |
Eneo | |
- Jumla | 531.3 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 554,622 |
Makao makuu yalikuwa mjini Vihiga.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Vihiga.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Vihiga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |