Mnyamapochi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
Mstari 3:
'''Marsupiala''' ni ngeli ndogo chini ya [[mamalia]]. Ni wanayama wanaozaa wadogo wao katika hali changa sana yaani baada ya muda mfupi wa mimba. Baada ya kuzaa wanaendelea kubeba wadogo ndani ya mfuko au pochi ya ngozi iliyopo nje ya mwili juu ya tumbo. Humo kuna maziwa ambako wadogo wanaweza kunywa ilhali wanatunzwa vizuri na kukaa joto. Kadri wadogo wanavyokua wanaanza kutazama mazingira kutoka pochi na pia wanaanza kutembea nje wakirudi tena pochini hadi wamefika umri wa kutosha wanaondoka.
 
Marsupialia wanaojulikana zaidi ni kangaroo. Spishi zilizo nyingi ziko [[Australia]] na visiwa vya karibu kama [[New Zealand]]. Marsupialia wanaojulikana zaidi ni [[kangaruu]].
 
==Orodha ya Marsupialia==