Tako la bara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: right '''Tako la bara''' ni sehemu ya bara iliyoko chini ya maji ya bahari. Sehemu ya bahari hadi ya kina cha maji cha mita 200 huitwa "bahari ya takoni"...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tako la bara.png|right]]
[[Image:Elevation.jpg|thumb|400px|Ramani ya dunia; sehemu za bahari ya takoni zaonyeshwa kwa buluu nyeupe]]
'''Tako la bara''' ni sehemu ya [[bara]] iliyoko chini ya maji ya [[bahari]]. Sehemu ya bahari hadi ya kina cha maji cha mita 200 huitwa "bahari ya takoni". Kwa wastani lina upana wa 70 - 80 km. Lakini kuna matako yenye upana wa kilomita zaidi ya 1,000 kama huko [[Siberia]] au nyembamba sana kama huko [[Kenya]].