Cornelis Langenhoven : Tofauti kati ya masahihisho

Mwanasiasa wa Afrika Kusini (1873-1932)
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Cornelis Jacobus Langenhoven''' (13 Agosti, 1873 - 15 Julai, 1932) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini, hasa upande wa mashairi na insha. Yey...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:32, 4 Juni 2011

Cornelis Jacobus Langenhoven (13 Agosti, 1873 - 15 Julai, 1932) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini, hasa upande wa mashairi na insha. Yeye huonekana kama mwandishi mkuu wa fasihi ya Kiafrikaans mwanzoni mwa karne ya 20. Anajulikana kwa kutunga maneno ya wimbo wa taifa wa kwanza wa Afrika Kusini, Die Stem ("Mwito").

Angalia pia

Marejeo

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN: 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cornelis Langenhoven kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.