Ifakara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nyongeza jimbo katoliki
No edit summary
Mstari 20:
 
[[Picha:Ifakara kwa macho ya ndege.jpg|thumb|250px|Ifakara kwa macho ya ndege]]
'''Ifakara''' ni makao makuu ya [[wilaya ya Kilombero]] nina kitovu cha eneo lenye mashamba makubwa ya [[miwa]]. Kuna kituo muhimu cha [[TAZARA]]. Kata ya Ifakara ilikuwa na wakazi wapatao 45,684 wakati wa sensa ya 2002.
 
Mji uko katika bonde la [[mto Kilombero]] takriban kilomita 420 kusini-magharibi yamwa [[Dar es Salaam]]. Taasisi muhimu mjini ni Taasisi ya Afya Ifakara (Ifakara Health Institute) inayofanya uchunguzi wa kisayansi wa magonjwa kama [[malaria]] na [[ukimwi]]. [[Kanisa katoliki]] inaendesha [[hospitali]]Hospitali ya St Francis]] inayotarajiwa kuwa hospitali ya wilaya pamoja na chuo cha wauguzi.
 
Tangu tar. 14 Januari 2012 mji ni makao makuu ya [[jimbo katoliki ya Ifakara]].