Julius Wagner-Jauregg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Julius Wagner-Jauregg''' (7 Machi, 185727 Septemba, 1940) alikuwa daktari kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza na ku...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:56, 27 Septemba 2007

Julius Wagner-Jauregg (7 Machi, 185727 Septemba, 1940) alikuwa daktari kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza na kutibu magonjwa ya kiakili kwa kutumia tiba ya kushtua ya kuingiza homa mwilini. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.