Y : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: {{A-Z}} '''Y''' ni herufi ya 25 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa. Asili yake ni Ipsiloni ya alfabeti ya Kigiriki. ==Maana za Y== ...
 
No edit summary
Mstari 23:
Alama ya Y kiasili haikupatikana katika Kilatini cha Kale. Ilihitajika baada ya Roma kutawala Ugiriki na lugha ya Kilatini kupokea maneno mengi ya Kigiriki yaliyokuwa na herufi ya [[ipsiloni]].
 
AsiliyAsili akeyake ni "waw" ya [[Kifinisia]] iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya fimbo la kingoe au kiopoo. Wagiriki wa Kale walichukua alama hiyo na kuitumia kwa namna mbili: kwa umbo moja kama [[digamma]] (tazama [[F]]) na umbo la pili kama "[[ipsilon]]" bila kujali maana asilia ilitaja sauti kati ya "u" na "i".
 
Ipsiloni iliingia tayari mwanzoni katika alfabeti ya Kilatini kupitia [[Kietruski]] lakini kwa sauti ya "u/v". Kwa hiyo iliigizwa mara ya pili kwa maana yake ya Kigiriki.
 
Katika lugha kadhaa inaonyesha leo [[konsonanti]] (kama [[Kiswahili]]) katia lugha kadhaa huonyesha [[vokali]] kama "i" ya [[Kijerumani]] / [[Kituruki]] "ü". Katika [[Kiingereza]] ni mara konsonanti mara vokali.