Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Minor fix using AWB
Mstari 1:
'''Euphrase Kezilahabi''' (amezaliwa [[13 Aprili]], [[1944]] katika kijiji cha [[Namagondo]] kisiwani [[Ukerewe]]) ni mwandishi kutoka nchi ya [[Tanzania]]. Lugha yake ya kwanza ni [[Kikerewe]] lakini huandika hasa kwa [[Kiswahili]] ambacho amekipanua kwa kutumia mitindo ya lugha yake ya asili.
 
==Maisha==
Mstari 13:
 
Riwaya:
* [[Rosa Mistika]] (1971)
* [[Kichwamaji]] (1974)
* [[Dunia Uwanja wa Fujo]] (1975)
* [[Gamba la Nyoka]] (1979)
* [[Nagona]] (1987/1990)
* [[Mzingile]] (1991)
 
Mashairi:
* [[Kichomi]] (1974)
* [[Karibu Ndani]] (1988)
* [[Dhifa]] (hakijatolewa bado)
 
Tamthiliya:
* [[Kaptula la Marx]] (1978/1999)
 
==Marejeo==
{{Marejeo}}
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/315981/Euphrase-Kezilahabi Euphrase Kezilahabi kwenye Britannica online]
* [http://www.nelk-frankfurt.de/uploads/Euphrase-Kezilahabi-Profile.pdf Profile of Euphrase Kezilahabi]
* [http://www.swahili-literatur.at/nacherzaehlungen/rosamistika.pdf Lourenco Noronha, Euphrase Kezilahabi 1971 Rosa Mistika (kwa lugha ya Kijerumani), Taasisi ya Taaluma ya Bara la Afrika, Chuo Kikuu cha Vienna, Mei 2009 (iliangaliwa Januari 2013)
Mstari 41:
[[Category:Waandishi wa Tanzania]]
 
{{mbeguMbegu-mwandishi}}
 
[[de:Euphrase Kezilahabi]]