Mkoa wa Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
== Dar es Salaam ==
'''Dar es Salaam''' ni kati ya mikoa 26 ya [[Tanzania]]. Eneo la mkoa ni [[Jiji]] la [[Dar es Salaam]]. Imepakana na [[Mkoa wa Pwani]] pande zote barani na [[Bahari ya Hindi]] upande wa mashariki. Jiji la Dar es Salaam ndio kitovu cha shughuli za biashara na utawala nchini Tanzania. Hapo zamani jiji hili lilijulikana kwa jina la [[Mzizima]].
Kuna wilaya tatu za Kinondoni (wakazi 1,088,867), Ilala (wakazi 637,573) na Temeke (wakazi 771,500) ambazo kila moja inaangaliwa kama mji.
Eneo la mkoa ni 1,800 km² pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni 1,393 km².
|