Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 48:
===Uongozi wa MNC===
Mnamo mwezi wa octoba, mwaka 1959, Lumumba, kama kiongozi wa chama cha MNC, alikamatwa kwa kosa la kuchochea vurugu zakupinga serikali ya kikoloni katika mji wa [[w:Stanleyville| Stanleyville]] ambapo watu takriban 30 waliuawa na eye alihukumiwa kwenda jela cha miezi sita. Mnamo tarehe 18 ya mwezi January 1960 ambayo ilikuwa siku ya majaribo na hapohapo katika siku ya kwanza ya mkutano wa wa kuzungumzia hatma ya nchi ya kidemokrasia ya Congo itakumbukwa kwamba licha ya Lumumba kuwa jela katika kipindi hicho cha chake cha MNC kilifanikiwa kuwashawishi wananchi kwenye uchaguzi uliofanyika mwezi Decemba na kushinda katika jamhuri ya Congo. Kutokana na nguvu ya umma iliyokuwa ikifanywa na wananchi wa Congo dhidi ya kuachiliwa kwa Lumumba kutoka kila kona, aliachiliwa na kuruhusiwa kuhudhuria katika mkutano wa [[w:Brussels| Brussels]]. Mkutano huo ulifikia kilele tarehe 27, June 1960 kwa azimio la uhuru wan chi ya Congo na kupanga uchaguzi tarehe 30 ya mwaka huo huo wa 1960 [[w:Belgian Congo general election, 1960|
Maadhimisho ya uhuru wa Congo kwa mra ya kwanza yalifanyika mnamo tarehe 30 June 1960 ambapo maadhim,isho hayo yalihudhuriwa pia na
<blockquote>kwa uhuru huu wa Congo hata kama tunasherehekea leo na wabeljiji , nchi rafiki ambayo tupo sawa kwa sawa, hakuna mkongoman hata mmoja ambaye atasahau kwamba vita waliyipigana hatimae wakashinda wamaeshinda, kwa mapambano yaliyokuwayakiendelea, mapambano ambayo kwamba watu tulijitoa ambayo kwayo watu walikuwa tayari kwa lolote hata kumwaga damu, kwa namna kwa hakika yalikuwa mapambano maukufu na yalikuwa na mwelekeo wa kukomesha utumwa ambao ulikuwa ukiendeshwa dhidi yetu kwa nguvu.<ref name=chukw /></blockquote>
|