Naitwa Francis Kaswahili mimi ni mchanga sana katika duru tya uhariri wa wikipedia ambaye nilijiingiza rasmi katika uwanja wa uhariri mwaka 2012. Luggha harisi kwangu ni Kisukuma, Kiswahili na kiingereza napenda sana kuhariri kwa lugha mbalimbali hadi kisukuma ninayo dhamira ya dhati kabisa kuona kwamba kisukuma nacho kinapata nafasi ya pekee katika ukurasa huru wa Wikipedia. Kwa hiyo natarajia ushirikiano wa wahariri wengine hasa wale ambao wamenitangulia ili nijifunze kwao, mimi huwa naona wivu sana ninapoona makabila madogomadogo ya Bara ulaya, Bara Asia, Bara America Kusini na hata kaskazini. Hiyo ndo dhamira yangu lazima pia Lugha kama Kiswahili najua wapo watu ambao wamefanya kazi kubwa sana hivyo basi ni vyema tukashirikiana kwa pamoja. Na mtu yeyete basi asisite kuniandikia katika ukurasa wangu huu ManawaElimu kwanza 19:40, 4 April 2013 (UTC)