Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 2:
 
 
'''Patrice Lumumba''' ([[2 Julai]] [[1925]] – [[17 Januari]] [[1961]]) alikuwa mwanasiasa mwanamapinduzi wa nchi ya [[w:Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa [[w:Kifaransa|Kifaransa]]: ''[[w:Mouvement National Congolais|Mouvement National Congolais]]''). Mwaka wa 1960 alipata kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa [[w:Ubelgiji|Wabelgiji]]. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la [[w:Katanga|Katanga]] upande wa kusini wa Kongo.
==Hadi kufukia uwaziri Mkuu==
 
===Early life and career===
[[w:Patrice Lumumba|Patrice Lumumba]] alizaliwa na [[w:François Tolenga Otetshima|François Tolenga Otetshima]], na [[w:Julienne Wamato Lomendja|Julienne Wamato Lomendja]], ambao walikuwa wafugaji katika kijiji cha [[w:Katakokombe|Katakokombe]] katika mkoa wa [[w:Kasai region|Mkoa wa Kasai]] katka jimbo la [[w:Belgian Congo| Kanyalwaunga]].<ref name="Kanyarwunga4">{{cite book
| last = Kanyarwunga
| first = Jean I N