Patrice Lumumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
{{Mwanasiasa
| jinaJina =''' Patrice E. Lumumba'''
| nchiNchi = Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo
| picha = PatricelumumbaIISG.jpg
|Maelezo maelezo_ya_pichaya picha = Patrice E. Lumumba
| chama = MNC
| cheo 2 Cheo= '''Waziri Mkuu wa Kwanzamkuu wa DRC'''
|Kushika kuingia 2madaraka = 24 June 1960
|Kutoka kutoka 2madarakani = 14 SeptemberSeptemba 1960
|naibuNaibu 2= Antoine Gizenga
|aliyemfuata akifuatwa na 2= Joseph Ileo
| tareheTarehe ya kuzaliwa = 2' Julai 1925
| mahali pa kuzaliwaalipozaliwa = Mjimji wa Elisabeth Elizabeth
|Tarehe kifoaliyofariki = 17 januari Januari 1961
|Dini = Kkristu mkatoliki
| dini = Mkristo Mkatoliki
| mkeMke = Pauline Lumumba
|Watoto 4
|watoto 1 = François Lumumba
|mototo 2= Patrice Lumumba, Jr.
Line 20 ⟶ 21:
|mtoto 4 =Roland Lumumba
|}}
 
 
'''Patrice Lumumba''' ([[2 Julai]] [[1925]] – [[17 Januari]] [[1961]]) alikuwa mwanasiasa mwanamapinduzi wa nchi ya [[w:Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa [[w:Kifaransa|Kifaransa]]: ''[[w:Mouvement National Congolais|Mouvement National Congolais]]''). Mwaka wa 1960 alipata kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa [[w:Ubelgiji|Wabelgiji]]. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la [[w:Katanga|Katanga]] upande wa kusini wa Kongo.