Telegrafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'left|333px|thumb|Telegrafu ya kihistoria nchini Ujerumani ilitumia alama za mikono ya ubao '''Telegrafu''' ''(ing. telegrap...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:OptischerTelegraf.jpg|leftright|333px250px|thumb|Telegrafu ya kihistoria nchini Ujerumani ilitumia alama za mikono ya ubao kwa kuonyesha herufi]]
 
'''Telegrafu''' ''([[ing.]] telegraph; kutoka [[gir.]] τῆλε tele "mbali", na γράφειν graphein "andika")'' ni njia ya kupeleka habari andishi kwa mpokeaji wa mbali bila kubeba barua kwake.
Mstari 15:
 
Tangu kupatikana kwa simu matumizi ya telegrafu yalipungua lakini bado zilitumwa hadi kupatikana kwa simu za mkononi na barua pepe. Katika nchi mbalimbali huduma zilifungwa kuanzia mwaka 2000 hivi, katika nchi nyingine huduma bado iko. <ref>{{cite web |url= http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=5186113 |title=Western Union Sends Its Last Telegram : NPR |first=Robert|last=Siegel |work=npr.org |date=February 2, 2006 |accessdate=November 26, 2011}}</ref>
[[picha:Seaman send Morse code signals.jpg|thumb|Mwanamaji anatumia taa ya pekee kwa ujumbe wa nuru akitumia alama za Morse]]
 
[[Image:L-Telegraph1.png|thumb|Instrument]]
 
[[Image:International_Morse_code.png|thumb|Morse code]]
 
==Marejeo==