Ziwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 128 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q23397 (translate me)
Mstari 2:
[[Picha:Lac d'arvoin.JPG|thumb|250px|Ziwa dogo milimani ya [[Ufaransa]]]]
[[Picha:lake tanganyika.jpg|thumb|250px|[[Ziwa Tanganyika]] ni kati ya maziwa makubwa ya dunia (picha kutoka angani ya 1985]]
'''Ziwa''' ni gimba kubwa la maji linalozungukwa na nchi kavu pande zote. Tofauti na [[bahari]] ni ukubwa na kutobadilishana maji na bahari kuu. Lakini maziwa kadhaa yamepewa pia jina la "bahari" hasa kama yana maji ya chumvi au kama watu wa eneo lake hawajui magimba makubwa zaidi ya maji. Mfano wake ni [[Bahari Kaspi]] katika [[Asia]] ambayo ni kubwa sana lakini hali halisi ni ziwa lenye maji ya chumvi.
 
Mara nyingi [[mito]] inaingia au kutoka katika ziwa.