Yamkini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Yamkini''' (kutoka ar. يمكن ''yumkinu'' = inawezekana;ing. ''probability'') ni kipimo cha fursa au uwezekano wa kutokea au kutotoke kwa tukio ful...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Yamkini''' (kutoka [[ar.]] يمكن ''yumkinu'' = inawezekana;[[ing.]] ''probability'') ni kipimo cha fursa au uwezekano wa kutokea au kutotokekutotokea kwa tukio fulani. Kuna tawi la [[hisabati]] linaloshughulika swali hili.
 
Mfano: kwa kutumia hisabati ya yamkini unaweza kuonyesha ya kwamba ukirusha [[sarafu]] hewani mara 10 italala mara 5 kwa kuonyesha namba na mara 5 kwa kuonyesha nembo upande wa juu.