Tafsiri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:38, 9 Machi 2015

Tafsiri ni kazi ya kutoa maana ya maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.

Jiwe la Rosetta kutoka Misri ya Kale iko kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu)

Mtu anayefanya kazi hii huitwa mfasiri.

Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.

  • Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa uzuri katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia methali au lugha ya mifano na picha.
  • Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa umbo nzuri katika lugha ya kutafsiriwa kuna hatari ya kwenda mbali kiasi na yale yaliyosemwa awali na kuingiza rai za mfasiri.


Wikimedia Commons ina media kuhusu: