Maporomoko ya maji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
== Kutokea na kubadilika kwa maporomoko ya maji ==
Maporomoko ya maji hutokea kwa kawaida katika sehemu za juu ya njia ya mto.<ref>Carreck, Rosalind, ed. (1982). The Family Encyclopedia of Natural History. The Hamlyn Publishing Group. pp. 246–248. ISBN 0711202257.</ref> Hapa mtelemko kwa jumla ni mkubwa zaidi na mwendo wa maji haraka zaidi. Kwa hiyo nguvu ya maji ni kubwa zaidi kiasi inaweza kuchimba lalio hadi imekuwa mfereji kama korongo mrefu.
 
Pale ambako mwendo wa maji ni juu ya mwamba mgumu [[mmomonyoko]] hutokea polepole tu. Pale yanapofikia mahali ambako mwamba mgumu wa juu unakwisha nguvu ya maji yakitelemka kwenye ukingo inachimba lalio ya chini.
Chini ya ukingo hutokea dimbwi yenye kizingia cha maji. Maji yanayozunguko humo pamoja na mawe na mchanga ndani yake yanasuguana kwenye ukuta wa mwamba. Kwa njia upeno au nusu pango hutokea. Kama kuna mwamba laini chini ya takaba ya mwamba mgumu wa juu upanuzi wa pango unaendelea haraka zaidi. Baada ya muda upeno unakatika na kuanguka.<ref>[http://geography.howstuffworks.com/terms-and-associations/waterfall.htm/printable How waterfalls work]</ref>
 
Kwa njia hii ukingo wa maporomoko unarudi nyuma na kurudisha njia ya korongo nyuma. Kasi ya harakati inategemea na tabia za mwamba unaopatikana. Kuna maporomoko yanayorudi nyuma mita na nusu kila mwaka.<ref>[http://www.classzone.com/books/earth_science/terc/content/visualizations/es1305/es1305page01.cfm?chapter_no=visualization Observe river erosion creating waterfalls and chasms]</ref>
 
Baada ya muda wa kutosha (wakati mwingine miaka mamillioni) nguvu ya maji umeondoa mwamba wa kutosha hali hakuna maporomoko tena na ngazi katika njia imekuwa mtelemko tu.
Mstari 29:
 
[[jamii:mito]]
[[Jamii:Maporomoko ya maji]]