Wikipedia:Umaarufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Umaarufu''' wa kichwa au lemma ya makala ni lazima kueleweka. '''Wikipedia SI tangazo juu ya mtu yeyote anayeishi au aliyeishi duniani.''' Hapa unaweza...'
 
No edit summary
Mstari 12:
 
 
'''Ukiulizwa kuhusu umaarufu wa makala usikae kimya.''' Kama mwanawikipedia mwingine ana wasiwasi kuhusu umuhimu wa jambo ataandika kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala yenyewe au kwenye ukurasa wako kamawa mtumiaji. Usikae kimya, ujibu, ujitetee, onyesha sababu zako.
 
[[jamii:Msaada]]