Wilaya ya Ikungi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 2:
Wilaya ya [[Ikungi]] ni wilaya moja ya mkoa Wa [[Singida]]. Katika sensa ya mwaka 2012, wilaya inajumla ya idadi ya wakazi wapatao
==kibiashara==
Wakazi Wa wilaya ya [[Ikungi]] mkoani [[Singida]] wanajishughulisha na shughuli za kilimo. Kama vile ulimaji Wa '''Alizeti''', '''Ulezi''', '''viazi vitamu''' pamoja na '''uvuvi''' katika bwawa La [[ Muyanji]] kutokana na halohali ya ukame mkoani '''Singida''' wakazi Wa '''Ikungi''' hutegemea kilimo cha mazao yanayo stahili ukame na malachache hujihusisha na '''Uvuvi'''.