Wilaya ya Ikungi
Wilaya ya Ikungi ni wilaya mojawapo kati ya 7 za mkoa wa Singida.
Wilaya ya Ikungi | |
Mahali pa Ikungi katika Tanzania |
|
Majiranukta: 5°8′8″S 34°46′15″E / 5.13556°S 34.77083°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Singida |
Wilaya | Wilaya ya Ikungi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 411,262 |
Katika sensa ya mwaka 2012, wilaya ilikuwa na jumla ya wakazi wapatao 272,959. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 411,262 [1].
Uchumi
haririWakazi wa wilaya hiyo wanajishughulisha na kilimo, lakini kutokana na hali ya ukame mkoani Singida wakazi wa Ikungi hutegemea mazao yanayostahimili ukame, kama vile ulimaji wa alizeti, ulezi na viazi vitamu, na wachache hujihusisha na uvuvi, hasa katika bwawa la Muyanji.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Ikungi - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
---|---|---|
Dung'unyi | Ighombwe | Iglansoni | Ihanja | Ikungi | Irisya | Isseke | Issuna | Iyumbu | Kikio | Kituntu | Lighwa | Makilawa | Makiungu | Mang'onyi | Mgungira | Minyughe | Misughaa | Mkiwa | Mtunduru | Muhintiri | Mungaa | Mwaru | Ntuntu | Puma | Sepuka | Siuyu | Unyahati |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ikungi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |