Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 32:
:::Pole - sikusoma vizuri mara ya kwanza. Nitafanya kama ulivyouliza. Nitachagua kurasa za wanyama zilizo mbegu sasa, na zilizo na kurasa za Kiingereza zinazolingana nazo, na nitakuonyesha machaguo yangu kabla ya kuanza kazi. Shida ndogo ni kwamba ninahitaji kurasa za Kiingereza kutumia kama chanzo cha kutafsiri. Kurasa za oda au familia huandikwa kama makala ya kisayansi, kwa kawaida, na mimi siwezi kuzitafsiri vizuri. Kwa hiyo, nitachagua kurasa zilizo na kurasa rahisi za Kiingereza zinazolingana nazo. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta#top|majadiliano]])''' 23:46, 7 Desemba 2014 (UTC)
::::Asante Rberetta. Kila msaada utathaminiwa. Na nitakusaidia ikiwa lazima. Uliza tu. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 22:32, 9 Desemba 2014 (UTC)
 
==Tafadhali uangalie jamii kuhusu mfumo wa kuanzisha makala==
Mpendwa, nakuomba kuaangalia [https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Kura_juu_ya_utaratibu_wa_kuanzisha_makala_mapya_.28.22Community_request_to_disable_article_page_creation_by_anonymous.2FIP_editors.22_.29 ukurasa wa Jumuiya]. Tuliomba wikimedia ya kutpa mfumo wa kuzuia watumiaji wasiojiandikisha wasianzise makala mapya. Kusudi lilikuwa kupunguza idadi ya makala mabaya yasiyotosheleza masharti ya wikipedia ilhali tuko wachache mno kuziangalia. Wikipedia kubwa kadhaa zinatumia utaratibu huu (kama en:wikipedia) lakini sisi tunapaswa kupeleka ombi kwa kamati fulani. Kamati hii wametupa nafasi kwa kipindi ha miezi 6 tu inayokwisha karibuni. Sasa wanakamati wamekuja wanadai tujieleza au watarudisha mfumo huu nyuma. Mimi nikiwa 1 kati ya wachache wanaochugulia makala mapya naona itaturudisha nyuma. Naomba mchangie! Sanaaaaa!! '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 23:40, 10 Septemba 2015 (UTC)