Tofali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
 
Udongo wote unaweza kuchanganywa na [[saruji]] na kuwa imara kwa kukauka tu ilhali ni saruji inaleta uimara kazi ya punje za udongo.
[[Picha:RomaniaDanubeDelta MakingMaterialForCOnstructing0001jpg.JPG|thumbnail|Matofali ya udongo wa kukauka huandaliwa katika Romania kwa kuchanganya udongo na manyasi makavu; matofali ni makubwa kwa sababu si imara sana baada ya kukauka]]
 
[[Picha:Handstrichziegel - Vorbereitung des Lehms (Aliwal North, Dukatole).jpg|200px|thumbnail|Udongo unaandaliwa kwa kuuchanganya na maji]]
[[Picha:Handstrichziegel -Trocknung der Ziegel (Aliwal North, Dukatole).jpg|thumbnail|Matofali mabichi yanakauka]]
==Uandaaji wa tofali==
Kabla ya kuitwa tofali kitu cha kwanza ni kutafuta [[mchanga]] ususani kwa matofali ya simenti lakini kwa matofali ya udongo huwa ni kwanza kutafuta udongo mzuri kwa ajiri ya kushikamanisha na maji baadae. Kwa udongo wa mfinyanzi ni mzuri kuliko udongo mwingine kwa kutengeneza tofali la udongo. Lakini pia kwa matofali ya kuchoma huhitaji udongo mzuri pia unao shikamana kwa ajili ya kutangeneza tofali. Baada ya kutafuta udongo mzuri zoezi la uchanganyaji wa maji huanza kwa aina zote za matofali. Mara nyingi utengenezaji wa matofali huhitaji fremu ya kibao kwa ajili ya kuandaa muundo maalumu wa tofali lenyewe maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba.
 
Katika nchi mbalimbali kuna uzoefu wa kuchanganya udongo na manyasi makavu ndani yake; hii inasaidia kushikana tofali kwa ndani.<ref>Linganisha taarifa ya Biblia katika kitabu cha Kutoka 5,6f: Waebrania walipaswa kutafuta manyasi makavu " Farao akawaamuru wasimamizi wa watu.. akisema, 5:7 Msiwape watu tena majani ya kufanyia matofali, kama mlivyofanya tangu hapo; na waende wakatafute majani wenyewe. "</ref>
 
==Aina za matofali==
Line 20 ⟶ 24:
 
==Tofali la udongo==
[[Picha:Handstrichziegel - Vorbereitung des Lehms (Aliwal North, Dukatole).jpg|200px|thumbnail|Udongo unaandaliwa kwa kuuchanganya na maji]]
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kuchanganya udongo mzuri ambao unashikamana vizuri na baada ya hapo udongo huchanganywa na maji ili kuweza kushikamana vizuri na baadae udongo huwekwa kwenye kibao maalumu ilikutoa tofali husika. Matofali haya yanaweza kudumu kama yanatumiwa katika maeneo penye mvua kidogo. Lakini yakiloweshwa mara nyingi au kwa muda mrefu hupokea maji tena na kupoteza umbo. Inawezekana pia kufunika ukuta wa matofali yaliyokauka kwa simiti. Katika mazingira yabisi sana au jangwani majengo ya matofali yaliyokauka yamedumu karne kadhaa.
 
Line 29 ⟶ 32:
==Tofali la block==
Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutumia mchanga pamoja na kuchanganya na [[simenti]] tofali hili huwa ni tofali imara kupita matofali yaliyokauka na huweza kujenga nyumba imara sana. Uimara na gharama hutegemea na kiwango cha simenti inayotumiwa.
 
==Marejeo==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==
*{{Commons category-inline|Bricks|Matofali (bricks)}}
*[http://www.construction-guide.in/civil-works/masonary-works/compressive-strength-test-brick Compressive strength test of Bricks]
*[http://www.ochshorndesign.com/cornell/writings/brick.html Brick in 20th-Century Architecture]
*[http://books.google.com/books?id=wt8DAAAAMBAJ&pg=PA523 "Bricks Made Automatically by One-Man Machine"] ''Popular Mechanics'', April 1935, pg. 523 bottom-left