Muhogo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho
 
Mstari 17:
}}
 
'''Muhogo''' ([[ingKiing.]] ''[[w:cassava''|cassava]]) ni [[mmea]] wa [[jenasi]] manihot''[[Manihot]]'' na [[chakula]] muhimu katika [[Afrika]], [[Amerika Kusini]] na nchi za [[Asia Kusini]]. Sehemu ya kuliwa ni hasa mizizi[[kiazi|viazi]] yakevyake ([[mzizi|mizizi]] minene iliyoau mahogo) vilivyo na [[wanga]] nyingi halafu pia majani yake yenye [[protini]] na [[vitamini]].
 
==Sumu ndani ya aina za muhogo==
Kuna aina kadhaa za muhogo zinazotofautiana hasa katika kiwango cha [[sianidi]] (cyanid[[w:cyanide|cyanide]]) ndani yake. Sianidi ni [[sumu]] inayoandaliwa ndani ya mmea kwa umbo la kemikali linamarin. Linamarin hubadilika kuwa sianidi.
 
Viwango vya sianidi vinatofautiana kati ya [[spishi]] mbalimbali za muhogo. Aina zenye kiwango kidogo sana hazina matatizo lakini kwa jumla zao linatakiwa kuandaliwa kabla ya kuliwa.
 
Dawa ya sianidi hupotea kwa kuacha mizizi katika [[maji]] kwa siku mbili tatu. Njia nyingine ni upishi kwa joto kali kwa mfano kukaanga katika [[mafuta]]. Njia nyingine inayotumiwa hasa Afrika ya Magharibi ni kusaga miziziviazi na kukoroga [[unga]] katika maji; baada ya masaa kadhaa maji hubadilishwa na uji unapikwa kuwa aina ya [[ugali]].
 
<gallery>