Mkoa wa Morogoro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 72:
===Uchumi===
[[Kilimo]] kinategemea hali ya [[mvua]]. Kilombero kuna mashamba makubwa ya miwa. Mazao ya sokoni hulimwa milimani. Karibu nusu ya eneo la mashamba yote hulimwa [[mahindi]].
 
==Hifadhi za mkoa==
Inabidi zitunzwe hifadhi mbalimbali zinazopatikana katika mkoa wa Morogoro kwa sababu kutunzwa kwa hifadhi hizo kunaweza kukaleta [[faida]] mbalimbali kama vile: [[pesa]] za kigeni na pia [[maendeleo]] katika [[lugha]] mbalimbali.
 
==Majimbo ya bunge==