Nanomita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
 
==Matumizi==
Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika [[fizikia]] ya [[atomi]] na [[molekuli]], pia katika [[biolojia]] kwa vipimo vya [[kiini cha seli]] na [[jenetikia]]. Kipenyo cha [[atomi]] ya [[heli]] ni takriban 0.1 nm; [[virusi]] nyingi vina kipenyo cha baina 20 nm na 300 nm.
 
Nanomita ni pia kipimo cha kawaida kwa kutaja urefu wa mawimbi ya usumakuumeme. Nuru inayoonekana ina urefu wa wimbi kati ya 400 nm hadi 800 nm. .<ref>Hewakuruppu, Y., et al., ''[https://www.researchgate.net/publication/257069746_Plasmonic__pump__probe__method_to_study_semi-transparent_nanofluids?ev=prf_pub Plasmonic “ pump – probe ” method to study semi-transparent nanofluids]'', Applied Optics, 52(24):6041-6050</ref>