Rasi Hoorn : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:CapeHorn.jpg|thumb|right|250px|Rasi Hoorn ikitazamiwa kutoka kusini]]
[[File:Kap Hoorn.png|thumb|right|250px|Sehemu ya kusini ya Amerika Kusini, kisiwa cha rasi Hoorn kwa rangi nyekundu]]
'''Rasi Hoorn''' ([[ing.]] ''Cape Horn''; [[his.]] ''Cabo de Hornos'') ni [[rasi]] katika [[Chile]] kwenye sehemu ya kusini kabisa ya [[Amerika Kusini]]. Ni mahali ambako maji ya [[Pasifiki]] na maji ya [[Atlantiki]] hukutanana. Jina latokana na mji wa [[Hoorn]] katika [[Uholanzi]] kwa sababu walikuwa mabaharia kutoka mji ule waliochora rasi hii kwenye ramani mara ya kwanza na kuiteulia jina.
 
Rasi Hoorn ni ncha ya kusini ya [[funguvisiwa]] ya [[Tierra de Fuegos]] (ing. ''fireland'') ambayo ni kundi la visiwa linalozunguka sehemu ya kusini ya Amerika Kusini bara.