Jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
== Aina za maeneo makavu: jangwa na mibuga ==
Maeneo makavu yanaweza kutofautishwa kuwa [[yabisi sana]] ('''''en''': extremely arid'') pasipo na usimbishaji kwa muda wa miezi 12 mfululizo (maana yake hakuna mvua kila mwaka), [[yabisi]] ('''''en''': arid'') pasipo na usimbishaji zaidi ya 250 mm kwa mwaka, '''nusu yabisi''' ('''''en''':semiarid'') penye usimbishaji kati ya 250 and 500 mm kwa mwaka. Maeneo yabisi sana na maeneo yabisi ni jangwa. Maeneo nusu yabisi pana manyasi huitwa [[mbuga]].
 
Takriban theluthi moja ya uso wa nchi kavu duniani ni yabisi sana, yabidi au nusu yabisi.
 
=== Athari ya uvukizaji ===