Mplamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Picha: Zdjęcie nie pokazuje duży zielony Greengage! Zobacz opis na commons.
Nyongeza spishi
Mstari 21:
Matunda ya mplamu au [[plamu|maplamu]] yaliyokomaa huwa na utando mweupe ambao huyapa muonekano wa bafaru hivi lakini hutoka kwa urahisi. Hii huwa ni nta, kitaalamu epicuticular wax, na utando huo hujulikana kama “nta ya kuchanua”
 
== SpishiNusujenasi ''Prunus'' ==
Nusujenasi imegawanywa katika sehemu kuu tatu:
 
* Sektio ''Prunus'' (maplamu ya Dunia ya Kale): Majani ya kwenye chipukizi yanajikunja kuelekea ndani; maua 1 – 3 yanakaa pamoja,; matunda ni laini, daima huwa na hupata nta ya ukomavu
* Sektio ''Prunocerasus'' (maplamu ya Dunia Mpya): Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua 3 – 5 yanakaa pamoja; matunda ni laini; daima huwa na hupata nta ya ukomavu.
* Sektio ''Armeniaca'' (maaprikoti): Maua ndani ya chipukizi yanajikunja kwa ndani; maua huwa na vikonyo vifupi; matunda laini kama mahameli. Huchukuliwa kamajinasi ndigo inayojitegemea na baadhi ya waandishi.
 
==Spishi==
* Sektio ''Prunus''
** ''Prunus p. cerasifera''
** ''Prunus p. cocomilia''
** ''Prunus p. consociiflora''
** ''Prunus p. domestica''
** ''Prunus p. salicina''
** ''Prunus p. simonii''
** ''Prunus p. spinosa''
* Sektio ''Prunocerasus''
** ''Prunus p. alleghaniensis''
** ''Prunus p. americana''
** ''Prunus p. angustifolia''
** ''Prunus p. hortulana''
** ''Prunus p. maritima''
** ''Prunus p. mexicana''
** ''Prunus p. nigra''
** ''Prunus p. subcordata''
* Sektio ''Armeniaca''
** ''Prunus p. armeniaca''
** ''Prunus p. brigantina''
** ''Prunus p. mandshurica''
** ''Prunus p. mume''
** ''Prunus p. sibirica''
 
== Kilimo na matumizi ==
Line 38 ⟶ 63:
== Picha ==
<gallery>
File:Plum blossoms.jpg|Maua
File:Fruits Prunus domestica.jpg|Maplamu mtini
File:Starr 070730-7797 Prunus domestica.jpg|Maplamu mekundu
File:Starr 070730-7799 Prunus domestica.jpg|Maplamu zambarau
File:Mirabellen.jpg|Maplamu njano (Mirabelle)
Prunus cerasifera branch fruits bgiu.jpg|''Prunus cerasifera''
3 blood plums on tree.jpg|''Prunus salicina''
Rosaceae - Prunus spinosa-3 (8304675870).jpg|''Prunus spinosa''
Prunus americana Syrets2.JPG|''Prunus americana''
Ripening Chickasaw Plum.JPG|''Prunus angustifolia''
BeachPlums.jpg|''Prunus maritima''
Prunus mexicana-fruits-leaves.jpg|''Prunus mexicana''
Canada Plum fruiting spray 0 - Keeler.png|''Prunus nigra''
Ripened Apricot Fruit (Prunus armeniaca).jpg|Maaprikoti (''Prunus armeniaca'')
Prunus brigantina img-000182269O.jpg|''Prunus brigantina''
Fruits of Japanese plum.jpg|''Prunus mume''
Amygdalus sibirica 7.JPG|''Prunus sibirica''
</gallery>